Wednesday, December 28, 2016

Hakuna elimu bora kwa wazazi wanaobweteka

Wanafunzi wengi wa shule za msingi, sekondari na hata vyuo hawafanyi vizuri kitaaluma kwa sababu ya wazazi wao kutofuatilia maendeleo ya watoto wao. Wazazi wanafikiri majukumu yao ni kulipa ada na michango mengine pekee na kuwaachia walimu. Ndugu yetu Gotfrid Mtana kupitia gazeti...

Sunday, December 25, 2016

SERIKALI Yapiga Marufuku Shule Binafsi Kufanya Mitihani ya Kuchuja Wanafunzi

Hiyo ni baada ya kutangaza kupiga marufuku utaratibu wa kuwachuja wanafunzi wanaotakiwa kufanya mitihani ya taifa uliokuwa unaofanywa na baadhi yao kwa lengo la kuonekana shule zao zinafaulisha vizuri. Hivi karibuni, Nipashe iliripoti kuhusu hofu ya baadhi ya shule hizo; za msingi na sekondari ziko hatarini kubadilishwa matumizi kutokana na kukosa wanafunzi wa kutosha baada...

Friday, December 23, 2016

Friday, December 16, 2016

Sitisho la ajira kwa walimu wa sanaa litazamwe upya.

Waziri wa elimu ametangaza kusitisha ajira kwa walimu wa sanaa, kwa mtazamo wangu nafikiri ni bado mapema kuchukua maamuzi hayo.Nchi hii inaupungufu wa walimu mkubwa bado.Upungufu mkubwa upo kwenye Sayansi lakini hata sanaa inaupungufu. Kuna shule hazina walimu wa Kiswahili, Kiingereza...

Visa vya ushirikina vinavyoweza kuiathari elimu Bunda

Wilaya ya Bunda ni miongoni mwa wilaya zenye visa vingi vya kishirikina kiasi cha kuwaweka katika wasiwasi walimu wanao hudumu katika wilaya hiyo. Kama juhudi za dhati hazitachukuliwa Watumishi wengi wataiogopa Bunda na pengine kuihama. Viongozi wa dini,chama na serikali chukueni...

Mwalimu mmoja wanafunzi 126

Kuna upungufu mkubwa wa walimu bila kujali fani.Kuna upungufu wa walimu wa sanaa,wa biashara naSayansi pia. Mapema Mwezi Septemba mwaka huu mkurugenzi mtendaji wa Twaweza alitangaza matokeo ya unaoeleza kuwa uwiano wa walimu na wanafunzi ni mbaya sana.Kiasi cha kufikia wanafunzi...

Fagio la Serikali lilivyosafisha sekta ya elimu

Makala hii ilichapishwa na gazeti la Mwananchi kama sehemu ya uchambuzi jinsi serikali ilivyofanikiwa na isivyofanikiwa katika sekta ya elimu kwa kipindi cha mwaka wakwanza. Mengi yamesemwa katika kuitathimini serikali ya awamu ya tano kwa kipindi cha mwaka mmoja lakini naamini...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...